Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

Kama imani yao na utashi wao kama taifa vinaruhusu acha wafanye wanaloona lina manufaa kwao.

But mimi huwa nafarijika kwamba as long as hakuna ataeishi tuseme labda miaka 500 au hata 150 bila kufa soon haya tunayofanyiana binadamu humu duniani tunaenda kuyatolea hesabu iwe kwa kutaka au kwa kulazimishwa,siku inakuja na hivi miaka 100 kibongo bongo 60 tunaitafuta kwa torch mtu anifanyie ubaya anavyoweza ipo siku itadhihirika tu.
 
chini ya sheria hakuna mkamilifu hata mmoja ndio maana Yesu alikuja na kwa njia ya yeye tunaishi kwa neema na nguvu ya msamaha kwa imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa na kisasi ni juu ya MUNGU mwenyewe .hiyo post inasikitisha kwa kwel
 
Kusamehe 7 mara 70 nakumpenda adui ndivyo nilivyofunzwa tangu udogoni
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
 
Ndio maana Saudia kuna amani kubwa, hakuna ujinga wa majambazi, wauwaji au panya road,
Unauwa kwa kusudia unauwawa tu labda wenye familia ya alie uwawa wakusamehe.
Hii sheria tunahitaji hapa ili tuishi kwa amani na furaha.
 
Ovyo KABISA Bora UKRISTO msamaha ni priority namba Moja.
 
Tusali:
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe..........,,............................. .........,,
Utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea...........,.
..................
Sala hii alifundisha Yesu kristo!
Sala inatumika kinafiq sana hii
 
Hii ije na huku. Tena wale wala rushwa na kutumia madaraka wapigwe mawe wafe.
 
Dini gani hii haina upendo na msamaha
Wangemuacha aishi Mungu angemuadhibu mwenyewe atakavyo
Uislam hauna unafiki wa kujifanya unasamehe huku ukiugulia moyoni.

Watu wanasema waislam makatili lakini utakuta ndio hao hao wanakimbilia kwa waganga kutafuta dawa ya kuadhibu wale waliowakosea.

Sheria za Kiislam zingetumika dunia nzima kungekuwa na adabu mno.
 
Hii Hukumu ingekuja hapa tusingekuwa na Rais yoyote hadi sasa, japo wa sasa hata Tarehe 19 Machi, 2021 asingefika
 
Sheria bila hekima ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…