Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

Ndo maana bora ubaki kuwa Mkristo.

Hii dini ya watu wasiosamehe ya nini?
 
Kuna channel ipo telegram hizo videos zote huwa zinapatikana huko... ukiwa na roho nyepesi huwezi kutazama yanayoendelea kwenye nchi zenye misimamo mikali.
 
U.S.A na nchi za ulaya wana lethal injection , shooting squad , na hata hanging pia ipo ila kwa sababu ni ametajwa muislamu hapo na tena muislamu mwenyewe ni muarabu utauoama unafiki wa WAGALATIA
 
Sheria ya Wamedi na Wajemi huwa haitenguki hata iweje.

Hawa wakoreshi whawajali Uhai.

Kwa kuana kwao ni kama kuchinjq Mbuzi tu. Na hukumu ya kifo kwa mapanga wao wanaona rahisi tu.

Hii yote ni tabia na roho ya kukosa utu ingawa wao hujitaba kuwa ni Wacha Mungu.
 
U.S.A na nchi za ulaya wana lethal injection , shooting squad , na hata hanging pia ipo ila kwa sababu ni ametajwa muislamu hapo na tena muislamu mwenyewe ni muarabu utauoama unafiki wa WAGALATIA
Tofauti na vikundi ulivyotaja ambavyo ni vya kiharifu pia havina Uhusiano na Dini wala Imani yoyote kwa mungu.
 
hii ni video ya tatu kuangalia, ya kwanza niliiona syria, kijana mmoja mkristo alichinjwa kwa kukataa kusilimu, walitengeneza kama mfereji wanachinja na kutupa kwenye bwawa au shimo kitu kama hicho, wanavyomchinja wanashika kichwa vidole wanashika pua kama kuku, damu ilimwagika, aiseee. nikawa najiuliza hawa mungu wao ni wa aina gani?

lakini hata hivyo, Mungu ni wa rehema, anawapenda, badilikeni achacheni na hiyo dini, sio ya Mungu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…