Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

Na wanabarikiwa hadi wanakuwa Matajiri wanamiliki DPW.

Huyu Mungu bado simwelewi anawaacha watu kama haw /a akwa faida ipi?
 
Unauwaje huku unajua kuwa adhabu yake ni kifo
Kutokana na tabia ya kuuana kwa wamedi na waajemi hata hivyo Matukio ya kuuana Nchi hizo ni mengi sana.

Unaweza kukosana na mtu kwa jambo dogo tu na akakujia na Panga usiku akakumaliza.

Jambo au tukio likifanywa kwa mazoea linakuwa jambo la kawaida kwa jamii
 
usisahau kutaja namna wanavyowarusha wasichana housegirls toka gorofani, kwasababu zisizo za msingi kabisa.
 
Kwa hiyo kuuwana iko kwenye damu zao.
 
Hii sheria ni nzuri sana ingefaa itumike Dunia nzima ili kuleta haki na usawa kwenye jamii bila kujali tajiri au masikini
 
Dini gani hii haina upendo na msamaha
Wangemuacha aishi Mungu angemuadhibu mwenyewe atakavyo
Kuna dini au sheria ipi nyingine duniani, warithi wakikusamehe, yamekwisha?
 
Hii sheria ni nzuri sana ingefaa itumike Dunia nzima ili kuleta haki na usawa kwenye jamii bila kujali tajiri au masikini
Bahati Mbaya sana huko huko inakotumika watu wanacharangana mapanga kila kukicha.

Amani haiji kwa Ncha ya Upanga.
 
Huenda Mungu wao Hana nguvu ya kuadhibu wanamsaidia
Hii ni hukumu ya haki.
Hata ustaarabu na uaminifu wa wazungu ulijengwa kwa damu.
Zamani ilikua ukimdhulumu mtu au kumuua unasakwa kimya kimya nawe unalipiziwa kisasi, ndipo ikawajengea watu uoga wa kutowatendea wengine mabaya kwa hofu ya kulipwa kisasi
 
Uislam ndio unasheria ya haki kwenye jamii kisasi kisasi
 
Ila hawa wenzetu wana moyo. Ngoma inapigwa hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…