Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina.

Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini na ccm ya sukuma gang.

Wewe una maoni gani?:
 
Sasa mbona akina Msukuma na Gwajiboy nao wameshangilia sana dhidi yake?
 
Sasa mbona akina Msukuma na Gwajiboy nao wameshangilia sana dhidi yake?
Hawa ni walipewa hela nyingi za hongo wakati wa DP World na Dubai walipelekwa. Kwahiyo bado fupa la rushwa linawatesa.
 
Kuna mbunge anaitwa Kondester aliongea vizuri sana Jana, sema sababu hatusikilizi na tukisikiliza tunasikiliza tunayotaka kusikia tunaweza tusielewe.

Hii inaonekana inaweza kua vita ya maslai TU. Hatujui ila pande zote Kuna shida mahali. Data alizonazo mpina zinatosha kuonesha kua upande wa waziri Kuna kitu hakipo sawa, na upande wa mpina sio Kwa nguvu anayotumia Kuna vitu haviko sawa.. Kuna maslai ya watu yanapiganiwa hapa ila yote kwa yote alisema yule mbunge anayejua ni MUNGU atatuonyesha!!
 
Back
Top Bottom