Bila kujali adhabu ya Tume ni halali au ni batili adhabu ila ni ya kisheria. Sasa adhabu za namna hiyo zinaanza pale ambapo umepewa taarifa ya ya hukumu.
Kifungu 19(2) cha Law of Limitation Act, [Cap. 89, R.E. 2002] kinasema hivi,
"In computing the period of limitation prescribed for an appeal, an application for leave to appeal, or an application for review of judgment, the day on which the judgment complained of was delivered, and the period of time requisite for obtaining a copy of the decree or order appealed from or sought to be reviewed, shall be excluded."
Hii maana yake hukumu inapotoka na ukitaa kukata rufaa na kuna siku za kukata rufaa, hizo siku zinaanza kuhesabiwa siku unapopewa nakala ya hukumu ile.
Sasa Tundu Lissu anaweza kukata rufaa. Hivyo siku zitahesabiwa siku atakapopewa nakala ya hukumu.
Je Tundu Lissu ameshapewa nakala ya hukumu? Je, atapewa lini ambapo siku zitaanza kuhesabiw?