So what?Rais wa Zambia ni msabato mzuri sana.
Kwa hiyo huo usabato wake unasaidia vipi maendeleo ya Zambia?Rais wa Zambia ni msabato mzuri sana.
Kwa hiyo Wazambia wamejiona kuwa na busara kuliko Bible, enh?Sheria pana ya mabadiliko ya watoto inayoendana na binadamu aliyestaarabika kwa kiwango cha juu katika karne ya 21 imesainiwa na Rais Hakainde Hichilema.
Mojawapo ya mambo katika sheria hiyo imepiga marufuku viboko kwa watoto katika mazingira yoyote na pia imepiga marufuku ndoa za watoto chini ya miaka 18 katika mazingira yoyote.
Hongera sana Zambia, mnaonyesha njia.
View attachment 2358346