Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sheria pana ya mabadiliko ya watoto inayoendana na binadamu aliyestaarabika kwa kiwango cha juu katika karne ya 21 imesainiwa na Rais Hakainde Hichilema.
Mojawapo ya mambo katika sheria hiyo imepiga marufuku viboko kwa watoto katika mazingira yoyote na pia imepiga marufuku ndoa za watoto chini ya miaka 18 katika mazingira yoyote.
Hongera sana Zambia, mnaonyesha njia.