Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64. Tanzania inang'ara kwa kutozuia viboko

Kichwa chako kimejaa kama.si
 
Acheni uzunguuzungu mitoto ya kiafrika bila viboko haiendi vingnevyo ni kuziua shule kabisa,unakuta mtoto anakutukana mpaka matusi ya nguoni alaf nimsubir mwl mkuu aidhinishe adhab ehiiii,hapo ni mvua ya viboko mpaka aseme situkani tena mwl,na viboko vyenye kutia adab ni vile vya matakoni na vinasaidia kuondoa utopolo kichwani yaani lazima 1+1=2 na si 1+1=11 tandika alaf mpe tena hesabu hiyo 1+1 atakwambia jibu 2 alaf una malizia kusema pumbavu.
 
Walijua wanamkomoa Mwl kumbe wanajiua taratibu na wazazi wao!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 

Chekechea!!!! Daah hali ni mbaya.
 
Kuwa na kinyongo naye haisaidii nilitegemea useme unamshukuru,nikuulize kosa alilokuchapa nalo ulilirudia tena baada ya adhabu hii nzito?

Ukinijibu hapa nitajua kama alikuonea au hakukuonea.
 
Ulifanya kosa gani? Ili kama alikuonea tukusaidie kuwa na kinyongo naye huyo teacher

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kama umewahi deal na watoto. Ndio utetee viboko vinginevyo acha viendelee. Watoto hawana adabu anakuvimbia mwalimu. Yaani nipate stress kisa toto la mtu hapana.
yaani unaanza eti kumfuatilia kama kafanya adhabu ama la..! Lol na kama humfundishi utaisoma fresh. Viboko ndio solution pekee.
 

Yes nishakutana nao sana tu, si kweli kuwa viboko tu ndio kitu wanaogopa maana ingekuwa hivyo wangekuwa wamenyooka. Sasa kama sisi ndio tunakosea kwenye malezi ni kwanini tuwalaumu watoto? Basi anza na kumchapa mzazi maana ndio hajatimiza wajibu wake.
 

Hiyo miaka mitatu ulifundishwa kuwa mtoto ni kipigo tu ndio kinamsaidia? Unamsaidiaje huyo mtoto baada ya kumpiga? Au ukishamjengea nidhamu ya uoga basi inatosha? Umewahi kufuatilia madhara ayapatayo huyo mtoto baada ya kumpiga?
 
Kiboko kinafundisha hakika, kwa walimu wangu wote waliowahi kunichapa, ima kwa kunionea au vinginevyo, sijawahi kuwa na kinyongo nao.

Kwa kila tabia ambayo hawakupendezwa nayo kutoka kwangu na wakaniadhibu kwayo, niliiacha tabia hiyo.
Nakusihi ndugu yangu umsamehe mwalimu wako kama unaweza.

Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa mbabe na anafundisha vizuri na kwa juhudi sana, ila kila apatapo nafasi lazima atuseme vibaya kwa misingi yetu ya kidini, sikuwahi kumuelewa mwalimu yule hadi namaliza shule.
 
Safi kabisa hadi mawaziri, ma-dc na rc wakiamua wanacharwza tu viboko...ng'ara Tanzania ng'ara šŸ¤£šŸ’
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kizazi cha happybirday ni kisang cha kalne.
Dady & Mom [emoji2][emoji2]
waseme tu watoto wapigwe idadi fulani ya fimbo. Ila huzi shule zetu za kajamba nani usipopigwa hamna kitu utafanya.
Sisi tulitandikwa/Tulibanwa nusu uwanja shule/mkileta ujinga mnaenda kukalizwa saa7 kwenye mchanga uliopigwa jua sana masaa mawili hamna kutoka mtu/mnapigwa hadi fimbo 12 mfululizo [emoji23]
-La7 tulifaulu wote halafu watu 70 vipaji maalumu yule ticha sitamsahau Hakya-Mungu niliwahi kusolve fumbo la Hisabati lililowashinda top 3 wa Darasa,na kwenye mtihani wamepata walitandikwa sana,na kati ya waliopata nikawepo na mm nikachomolewa nilikokaa ,haya kuja hapa utueleze umepatapataje sio mnaibiana ibiana majibu, nilivyomchorea umbo tu akasema umemaliza Hawa ma screper palipobaki watasolve wenyewe,mwambie mama ako akuandalie sare ya shule fulani,Mungu bariki nikafaulu hio hio.
Mtu unapigwa kama mbwa koko na ole wako usije shule
Halafu mtu aseme kajamba nani tusipigwe [emoji1787][emoji1787] wataambulia zero kila siku
 
na nyinyi mliopitia hapo wengi weny ndio madaktari wa leo,wanajeshi wenye elimu na marubani,wahasibu na maafisa mikopo bank nk.wa
nasema hivyo aende akaulize shule za seminary zinazoongoza kitaifa[emoji23][emoji23].kule stick sio sana ila ni bora upigwe stick za kutosha kuliko maisha ya wale masister[emoji1787][emoji1787].

ukileta wenge tu wasalimie kwenu.sister ni mpole ila akiamua jambo harudi nyuma.
 
Adhabu ibaki kama adhabu,ila iwekewe masharti na kanuni

Isifutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…