sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi?
Ni umri upi wa kuacha kumtandika?
Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza?
Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi?
Idadi ya viboko?
Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?