sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Vipi kama mzazi ndio mkosaji?Mtoto kwa wazazi hakui ww akikosea muonye kwa upendo akiwa mkaidi tandika hasa mpaka zitamkaaa sawa ....mkuu tandika hasa km anatabia za kipuuzi ...sisi wengine fimbo zimeturejesha kwenye msitali maana utundu ulizidi .
Vipi kama mzazi ndio mkosaji?
Sis zamani mama zetu walituchapa hovyohovyo tu ili mradi utie adabu. Mama hakuchapa kichwani na tumbo tu .kote jimbo zisizo na idadi zilituhusu. Leo kwa sababu umesoma mnakuja hulu mshauriwe idadi ya viboko na makosa nk!View attachment 2194212
Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi?
Ni umri upi wa kuacha kumtandika?
Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza?
Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi?
Idadi ya viboko?
Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
Kazana mkuu, tukutane baada ya miaka 12mwanangu ana miaka 3 mtundu sanaaa lkn sifikirii kumchapa kwa sabb sioni kama ni suluhisho sana
So kweli nakupinga!Wazazi achaneni ni hii corpral punishment huu ni ushenzi n ukatili wa hali ya juu, watoto wangu viboko ni No na shule wanazosoma viboko pia ni No, adhabu hii ndio inatuletea vizazi vya uoga, unafiki, kujipendendeza tuachaneni nayo.
Hongera kwa kutomwadhibu mtoto kwa makosa yake mbalimbalimwanangu ana miaka 3 mtundu sanaaa lkn sifikirii kumchapa kwa sabb sioni kama ni suluhisho sana
Hongera. Ingependeza utuambie pia unafanya nini kurekebisha tabia hiyomwanangu ana miaka 3 mtundu sanaaa lkn sifikirii kumchapa kwa sabb sioni kama ni suluhisho sana
Sawa baba juniormwanangu ana miaka 3 mtundu sanaaa lkn sifikirii kumchapa kwa sabb sioni kama ni suluhisho sana
Same here sichapi mtoto wangu I will do it when necessarymwanangu ana miaka 3 mtundu sanaaa lkn sifikirii kumchapa kwa sabb sioni kama ni suluhisho sana