Adhabu za Bodi Ya Ligi Tanzania(TPBL) zinaacha Maswali Mengi Sana Kwenye Tasnia Ya Mpira Wa Miguu

Adhabu za Bodi Ya Ligi Tanzania(TPBL) zinaacha Maswali Mengi Sana Kwenye Tasnia Ya Mpira Wa Miguu

Bodi ya ligi walipaswa kujiuliza kwanza hayo maswali kabla ya kutoa adhabu...walipaswa kujiuliza na kujua kwann timu iende kubadili nguo chumba tofauti..kutoa tu adhabu hakusaidii...vipi kama kwenye chumba rasmi cha kubadili nguo kulikua na tatizo
Yanga ndiyo walitakiwa watoe taarifa kuhusu hilo tatizo
 
Hata Mahakamani conviction Uwaga inatoka baada ya parties Wote Kutoa utetezi Wao Mbele ya Jaji, Hakimu na Sio Hawa Ambao Hata Mlalamikiwa Wala hapewi nafasi ya Kujitetea Wa Nini ameyafanya Haya, Hizi Ni Kanuni za Hovyo Sana
Ujinga tu
 
Wakakate rufaa
 
Mkuu Wala sitetei unaouita Ujinga, Ndio Maana Hata Mahakamani Mtu alieua na anashitakiwa na Jamhuri Ila Huyo Jamahuri Ndio anamwekea Wakili Wa Kumtetea.

Mkuu, Mshitakiwa anaweza kuwa ametenda kosa la jinai, na mahakama kumtia hatiani, lakini kutenda kwake kosa hilo kunaweza kuwa kumesababishwa na sababu ambazo sheria inatambua kuwa ni utetezi katika kosa hilo.

Utetezi huo ukikubaliwa mshitakiwa anaweza kufutiwa adhabu, akapunguziwa adhabu au kutopatikana na hatia.

Mpaka Yanga Anafanya aliyoyafanya alishagundua Kuna Jambo so Kabla ya Adhabu Husika walipashwa Wawaite Yanga Wawaulize Ni Kwa Nini Walipitia Kwenye Njia Ambayo Sio Rasmi.
Mjinga hujui proceeding za mpira zinavyoendeshwa
 
Mkuu, ni Wakati gani ambapo Team Husika Inaitwa kujitetea Mbele ya Bodi Husika Kuhusu makosa yaliyofanywa na Team Husika?.
Mkuu kwenye scenario kama hii ya kutumia mageti tofauti na chumba ambacho si mahususi unataka timu ijitetee kwa lipi?
 
Bodi ya ligi walipaswa kujiuliza kwanza hayo maswali kabla ya kutoa adhabu...walipaswa kujiuliza na kujua kwann timu iende kubadili nguo chumba tofauti..kutoa tu adhabu hakusaidii...vipi kama kwenye chumba rasmi cha kubadili nguo kulikua na tatizo
Yanga walitoa taarifa kwamba kwenye chumba cha kubadili nguo kuna shida yoyote?

Je ,miaka yote huwa hawajui mlango sahihi wa kuingilia uwanjani?
 
Mkuu Wala sitetei unaouita Ujinga, Ndio Maana Hata Mahakamani Mtu alieua na anashitakiwa na Jamhuri Ila Huyo Jamahuri Ndio anamwekea Wakili Wa Kumtetea.

Mkuu, Mshitakiwa anaweza kuwa ametenda kosa la jinai, na mahakama kumtia hatiani, lakini kutenda kwake kosa hilo kunaweza kuwa kumesababishwa na sababu ambazo sheria inatambua kuwa ni utetezi katika kosa hilo.

Utetezi huo ukikubaliwa mshitakiwa anaweza kufutiwa adhabu, akapunguziwa adhabu au kutopatikana na hatia.

Mpaka Yanga Anafanya aliyoyafanya alishagundua Kuna Jambo so Kabla ya Adhabu Husika walipashwa Wawaite Yanga Wawaulize Ni Kwa Nini Walipitia Kwenye Njia Ambayo Sio Rasmi.

Haki ya kusikilizwa ni jambo jema katika kila maamuzi.

Lakini kumbuka si kila makosa huitaji kutambua mkosaji alifanya hayo makosa kwa sababu au dhamira gani?

Na kama hakuna haja ya kutambua nia ya mkosaji? kuna haja gani ya utetezi?

Basi katika makosa hayo, ukifanya kosa tu basi moja kwa moja adhabu inakuhusu.

Mfano makosa mengi ambayo body
za usimamizi(administrative body) zimepewa mamlaka ya kutoa adhabu hasa hasa faini, Basi pale utakapo kutwa na hatia basi lazima utatozwa faini haijalishi ulikuwa na dhamira gani. Angalia fine unazopigwa barabarani etc

Hivyo hata Yanga(Utopolo) wamestahili kupigwa adhabu hiyo.

kulikuwa na ulazima wa kufanya hivyo? au wanaendeshwa na imani zao tu.

Hata kama basi kuna jambo walihisi baya wamefanyiwa basi mapema uongozi wao ungetoa taarifa kwa mamlaka husika.

Basi Bodi imejiridhisha na kuona hakukuwa na ulazima wa Utopolo kufanya hivyo, Wakatoa adhabu
 
Hata Mahakamani conviction Uwaga inatoka baada ya parties Wote Kutoa utetezi Wao Mbele ya Jaji, Hakimu na Sio Hawa Ambao Hata Mlalamikiwa Wala hapewi nafasi ya Kujitetea Wa Nini ameyafanya Haya, Hizi Ni Kanuni za Hovyo Sana

Tofautisha Hukumu za mahakaman na adhabu a.k.a penalties a.k.a Fines, ambazo zinawekwa na tasisi husika ndo maana hata halmashauri zina kanuni zenye adhabu za papo kwa papo.. ukizigomea ndo unapelekwa mahakaman na kumbuka mahakaman utalipa
zaid kwa usumbufu

ukitaka iende mahakaman hapo sasa yanga wanatakiwa wagomee hiyo fine ndo itapanda ngaz za juu

pia achen kuwa biased.. mnataka kanuni zifatwe nyie msipofata. mkaadhibiwa mnasema mmeonewa hamjaitwa kujitetea.. hv kutumia mlango usioruhusiwa tena kwa kuuvunja mchana kweupe ikiwa wenzenu na watu wengine wamepita mlango sahihi bila shida kuna utete gan unaohitajika... na usiseme habar za ushirikina sababu serikali na tasisi zake haziamin kwenye uchawi..

yaan hizi team zetu wana jinasibu kuendesha mambo kiweledi ila vitendo vyao vinakinzana ma wanachosema
 
Na siku ya mechi ya fainali kule Kigoma, tumejipanga kuingia kwa style mpya kabisa!!

Lengo ni moja tu! Kuhakikisha PAKA anachinjwa kwa mara nyingine.
 
Back
Top Bottom