pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Timu inaingia kupitia mlango siyo halafu iitwe ijiteteeMkuu, ni Wakati gani ambapo Team Husika Inaitwa kujitetea Mbele ya Bodi Husika Kuhusu makosa yaliyofanywa na Team Husika?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu inaingia kupitia mlango siyo halafu iitwe ijiteteeMkuu, ni Wakati gani ambapo Team Husika Inaitwa kujitetea Mbele ya Bodi Husika Kuhusu makosa yaliyofanywa na Team Husika?.
Yanga ndiyo walitakiwa watoe taarifa kuhusu hilo tatizoBodi ya ligi walipaswa kujiuliza kwanza hayo maswali kabla ya kutoa adhabu...walipaswa kujiuliza na kujua kwann timu iende kubadili nguo chumba tofauti..kutoa tu adhabu hakusaidii...vipi kama kwenye chumba rasmi cha kubadili nguo kulikua na tatizo
Ujinga tuHata Mahakamani conviction Uwaga inatoka baada ya parties Wote Kutoa utetezi Wao Mbele ya Jaji, Hakimu na Sio Hawa Ambao Hata Mlalamikiwa Wala hapewi nafasi ya Kujitetea Wa Nini ameyafanya Haya, Hizi Ni Kanuni za Hovyo Sana
Wakakate rufaaHata Mahakamani conviction Uwaga inatoka baada ya parties Wote Kutoa utetezi Wao Mbele ya Jaji, Hakimu na Sio Hawa Ambao Hata Mlalamikiwa Wala hapewi nafasi ya Kujitetea Wa Nini ameyafanya Haya, Hizi Ni Kanuni za Hovyo Sana
Mjinga hujui proceeding za mpira zinavyoendeshwaMkuu Wala sitetei unaouita Ujinga, Ndio Maana Hata Mahakamani Mtu alieua na anashitakiwa na Jamhuri Ila Huyo Jamahuri Ndio anamwekea Wakili Wa Kumtetea.
Mkuu, Mshitakiwa anaweza kuwa ametenda kosa la jinai, na mahakama kumtia hatiani, lakini kutenda kwake kosa hilo kunaweza kuwa kumesababishwa na sababu ambazo sheria inatambua kuwa ni utetezi katika kosa hilo.
Utetezi huo ukikubaliwa mshitakiwa anaweza kufutiwa adhabu, akapunguziwa adhabu au kutopatikana na hatia.
Mpaka Yanga Anafanya aliyoyafanya alishagundua Kuna Jambo so Kabla ya Adhabu Husika walipashwa Wawaite Yanga Wawaulize Ni Kwa Nini Walipitia Kwenye Njia Ambayo Sio Rasmi.
Mkuu kwenye scenario kama hii ya kutumia mageti tofauti na chumba ambacho si mahususi unataka timu ijitetee kwa lipi?Mkuu, ni Wakati gani ambapo Team Husika Inaitwa kujitetea Mbele ya Bodi Husika Kuhusu makosa yaliyofanywa na Team Husika?.
Me nafikiri ni imani za kishirikina tu hakuna kingine.Jambo la kushangaza sana kwa timu kama yanga kufanya mambo ayo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Yanga walitoa taarifa kwamba kwenye chumba cha kubadili nguo kuna shida yoyote?Bodi ya ligi walipaswa kujiuliza kwanza hayo maswali kabla ya kutoa adhabu...walipaswa kujiuliza na kujua kwann timu iende kubadili nguo chumba tofauti..kutoa tu adhabu hakusaidii...vipi kama kwenye chumba rasmi cha kubadili nguo kulikua na tatizo
Mkuu Wala sitetei unaouita Ujinga, Ndio Maana Hata Mahakamani Mtu alieua na anashitakiwa na Jamhuri Ila Huyo Jamahuri Ndio anamwekea Wakili Wa Kumtetea.
Mkuu, Mshitakiwa anaweza kuwa ametenda kosa la jinai, na mahakama kumtia hatiani, lakini kutenda kwake kosa hilo kunaweza kuwa kumesababishwa na sababu ambazo sheria inatambua kuwa ni utetezi katika kosa hilo.
Utetezi huo ukikubaliwa mshitakiwa anaweza kufutiwa adhabu, akapunguziwa adhabu au kutopatikana na hatia.
Mpaka Yanga Anafanya aliyoyafanya alishagundua Kuna Jambo so Kabla ya Adhabu Husika walipashwa Wawaite Yanga Wawaulize Ni Kwa Nini Walipitia Kwenye Njia Ambayo Sio Rasmi.
Hata Mahakamani conviction Uwaga inatoka baada ya parties Wote Kutoa utetezi Wao Mbele ya Jaji, Hakimu na Sio Hawa Ambao Hata Mlalamikiwa Wala hapewi nafasi ya Kujitetea Wa Nini ameyafanya Haya, Hizi Ni Kanuni za Hovyo Sana