Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Hata Islam Slimani kakosa goli tatu za wazi.Kakosa goli mbili za wazi fresh tu hata hao mnahis wachezaji wakubwa hukosea, mm nnafikiri hana muunganiko mzuri tu na wachezaji wenzake mfano bolaise kule Congo game nilizomtizama huwezi kusema jamaa anakipiga BPL hivyo ndivyo ilivyo kwa Zaha...Tumeshatoka tuwashabikie Uganda sasa
jiwe + bashiteZaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
Kapata ngapi kwa nafasi alizopata?Hata Islam Slimani kakosa goli tatu za wazi.
Atakuwa shemejiye Amunike.Zaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
JF.... Kweli raha !! Stress free...huwa hatuna uchungu wa kufungwa au kushindwa ktk mashindano ya kiTaifa!!!Hahaha Cheki mpumbavu huyu View attachment 1144276
ππππWabongo bhana
Naunga mkono hojaAtakuwa shemejiye Amunike.
AiseeeeeeeLigi daraja la nne huko. Anachezaga na watoto wa under 20[emoji23]
Ubishololo tuuuJikite kwenye mada...sasa ndevu zinashida gani?