Adi Yussuf huko Uingereza anacheza nini?

Adi Yussuf huko Uingereza anacheza nini?

Kakosa goli mbili za wazi fresh tu hata hao mnahis wachezaji wakubwa hukosea, mm nnafikiri hana muunganiko mzuri tu na wachezaji wenzake mfano bolaise kule Congo game nilizomtizama huwezi kusema jamaa anakipiga BPL hivyo ndivyo ilivyo kwa Zaha...Tumeshatoka tuwashabikie Uganda sasa
Hata Islam Slimani kakosa goli tatu za wazi.
 
Zaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
jiwe + bashite
1144420
 
Nitatapa usingiz siku Uganda wakifungwa goli nying kwa mechi moja.
 
Nitatapa usingiz siku Uganda wakifungwa goli nying kwa mechi moja.
 
Labda alipaniki! ila hata mimi nilimuona kama ana uwezo wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom