Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Habari zenu humu ndani mko poa?
Mi mgeni wenu bhana naitwa peninsula naombeni ushirikiano wenu
Mi mgeni wenu bhana naitwa peninsula naombeni ushirikiano wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu humu ndani mko poa?
Mi mgeni wenu bhana naitwa peninsula naombeni ushirikiano wenu
nashukuru kwa ukarimu wakoKarb sana wala usiogope mkuu
ok,naitwa peninsula Xavier dos santos natokea Durbanjitambulishe kdg, full name, mkoa na una wapenz wangp???
Unatokea Durban unaelekea wap!!!!ok,naitwa peninsula Xavier,natokea Durban
kwa nini ?Adje Adje iondoe...
naelekea mpumalangaUnatokea Durban unaelekea wap!!!!
Ndo wap uko Tanzania hii au?naelekea mpumalanga
kwa madibaNdo wap uko Tanzania hii au?
Karibu sana bebe peninsulahamna members wa kike humu?
Mbona sijapokelewa na member wa kike hata mmoja?
Asante sana mremboKaribu sana bebe peninsula
Asante sana BarbraKaribu sana peninsula