Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ety mwenye shida atamfata mwenzake [emoji16][emoji16]
Mkuu si yeye elewa hilo, Masau nishakaa nae jukwaa moja kuna mechi nikamuangalia wala hakuwa na muda na simu lakini ukicheki twitter account ya Ruvu ilikuwa inatoa updates kama kawaNi yeye
Hana hata smartphone..simu 10 zote vitochiSidhani
Tunaishia katikati ya uwanja mwenye shida atamfuata mwenzake😂😅😅😅 Anaumwa huyo Mtani.
Yaani ana maneno ya kukera aisee.Tunaishia katikati ya uwanja mwenye shida atamfuata mwenzake😂
Huyu jamaa anaumwa kweli...kwa hiyo hawakuwa na shida ya kuwafuata Yanga golini na wamepata walichotaka.
Na ukaja kukoment kwenye ujinga🤣Watanzania ndiyo tunapenda sana vitu vya kijinga jinga kama hivyo........
Kwa taarifa yako hiyo ndiyo burudani ya mpira kwa wapenda mpira. Vinginevyo kama siyo kuongeza vionjo kama hivyo toka kwa mashabiki, zaidi ya chenga za uwanjani toka kwa wachezaji mashabiki wana kazi gani sasa.Watanzania ndiyo tunapenda sana vitu vya kijinga jinga kama hivyo........
NakaziaKwa taarifa yako hiyo ndiyo burudani ya mpira kwa wapenda mpira. Vinginevyo kama siyo kuongeza vionjo kama hivyo toka kwa mashabiki, zaidi ya chenga za uwanjani toka kwa wachezaji mashabiki wana kazi gani sasa.
Mpira si ugomvi ila vijembe na tambo za mashabiki ni mahali pake. Ukiona shabiki kaanzisha matusi na ngumi huyo sio kavamia fani.