Admin wa Ruvu Shooting anaupiga mwingi huko Twitter

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Screenshot_20220505-152906.png
 
Halafu napenda sana utani wa vilabu vidogo hivi, Geita, Coastal , mbeya kwanza, Ruvu shooting etc wanavyotaniana hadi raha yaani!!

Unaweza kuta admin amepost, af adimin mwenzake akacoment๐Ÿ˜‚

View attachment 2211766

View attachment 2211767

Ni Parody hizo sio account rasmi za Timu ndiyomana wakati mwengine zinajisahau mpaka kwenye siasa zinareply.
Account rasmi haiwezi kureply kwenye Tweets za Watu bali inapost tu kwenye wall yake. Kuna matukio maalum inayoweza kureply kwenye Tweet ya account nyengine kama vile Kutoa pole (RIP) au kupongeza kwa Timu iliyotwaa Ubingwa au kwa mchezaji au Legend wa Timu yenyewe.
 
Acha uongo bana
 
Back
Top Bottom