Admin wa Simba apunguze utoto

Admin wa Simba apunguze utoto

Kweli anatakiwa kupunguza utoto. Maana timu kama Yanga msimu uliopita ilicheza mechi sijui ngapi pasipo kupoteza!

Sasa ligi yenyewe ndiyo kwanza imeanza! Wameshinda mechi 5 tu, tena mechi nyingine timu imeshinda kwa kubebwa na waamuzi vilaza! Halafu anashangilia!!!
Kwahiyo unashauri wajifungie ndani waanze kulia?
 
Yani mmekua kama nzi waliofungiwa...ukifungua kelele wakifungiwa kelele
Sasa usichokielewa hapo ni nini?
wacha ndo kwanzaa tumeanza kila baada ya mechi 5 mnapata updates...mkishindwa kuvumilia mjinyonge...
Ni suala tu la muda. Pale mtakapoanza kupokea vichapo mfululizo hizo updates zitapotelea kusikojulikana! Na badala yake mtaanza tena zile kelele zenu za kumkataa kocha Robertinho.
 
Ni suala tu la muda. Pale mtakapoanza kupokea vichapo mfululizo hizo updates zitapotelea kusikojulikana! Na badala yake mtaanza tena zile kelele zenu za kumkataa kocha Robertinho.
Wacha tuchekelee kwa sasa...ukipata nafasi cheeeeeekaaaa
 
Back
Top Bottom