Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaahhadmn we ni type c ya kenge
Kwahiyo unashauri wajifungie ndani waanze kulia?Kweli anatakiwa kupunguza utoto. Maana timu kama Yanga msimu uliopita ilicheza mechi sijui ngapi pasipo kupoteza!
Sasa ligi yenyewe ndiyo kwanza imeanza! Wameshinda mechi 5 tu, tena mechi nyingine timu imeshinda kwa kubebwa na waamuzi vilaza! Halafu anashangilia!!!
Ni suala tu la muda. Pale mtakapoanza kupokea vichapo mfululizo hizo updates zitapotelea kusikojulikana! Na badala yake mtaanza tena zile kelele zenu za kumkataa kocha Robertinho.Yani mmekua kama nzi waliofungiwa...ukifungua kelele wakifungiwa kelele
Sasa usichokielewa hapo ni nini?
wacha ndo kwanzaa tumeanza kila baada ya mechi 5 mnapata updates...mkishindwa kuvumilia mjinyonge...
Wacha tuchekelee kwa sasa...ukipata nafasi cheeeeeekaaaaNi suala tu la muda. Pale mtakapoanza kupokea vichapo mfululizo hizo updates zitapotelea kusikojulikana! Na badala yake mtaanza tena zile kelele zenu za kumkataa kocha Robertinho.