Kweli anatakiwa kupunguza utoto. Maana timu kama Yanga msimu uliopita ilicheza mechi sijui ngapi pasipo kupoteza!
Sasa ligi yenyewe ndiyo kwanza imeanza! Wameshinda mechi 5 tu, tena mechi nyingine timu imeshinda kwa kubebwa na waamuzi vilaza! Halafu anashangilia!!!