NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Huyu Admin amekuwa anapost kwenye ile page ya Simba SC kama vile ni page ya familia yake. Anaweza kupost kwa siku zaidi ya mara tano na mara nyigi anapost mipasho na kejeli zisizo na maana ikizingatia ile page ya Simba na timu kubwa nchini. Ukienda timu za wenzetu huwezi kuona huu upuuzi.
Juzi Ibrahim Ajibu kapostiwa zaidi ya mara nne kwa maneno mengi mengi yasiyo na weledi. Ina maana hawaigi hata huko wenzetu mechi ikiisha inaposti Results na picha moja tosha!
Haya mambo mengine waachiwe mashabiki au fan pages zisizo official za club .
Pia niliwahi kushauri huyu Bwana mdogo ile Handle ya Simba SC Tanzania inayotumika Facebook, Instagram na Twitter ni Ndefu na Ya kishamba.
Nilishauri Handle ziwe Simba SC , ila Huyu bwana mdogo bado anatumia Simba SC Tanzania , Nenda timu zote duniani sijawahi kuona huu upuuzi eti ukute timu inajiita Liver FC England au Rea Madrid Spain .
Kitu ambacho naona sio sawa.