vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 865
Mkuu unatutisha sisi wenye mwili wa tembo ubongo wa mende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana mkuu.
Karibu home of Big brains
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unatutisha sisi wenye mwili wa tembo ubongo wa mende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana mkuu.
Karibu home of Big brains
Ni porojo tu mzee [emoji1787][emoji1787]Mkuu unatutisha sisi wenye mwili wa tembo ubongo wa mende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani mkuu nimefanikiwaNatumia simu tu mkuu ... Nilikuwa natumia CHROME ikawa inakataa ila nimetumia OPERAMIN imekubali
UDBS mkuuNi porojo tu mzee [emoji1787][emoji1787]
Umepelekwa UDBS au COSS?
Nimefanikiwa mkuu,nilitumia phoenix browser, shukrani sanaUsitumie opera mini.
Tumia chrome. Na hakikisha kule kwenye option umeweka Desktop mode,
Pia unaweza kutumia Phoenix Browser iko poa.
Kwa watumiaji wa Samsung.. ile browser nayo inasupport.
NB. Badala ya Opera mini, tumieni Opera Browser
Duh.. pale kuna watoto waqali kinoma aisee [emoji4]UDBS
VzrNimefanikiwa mkuu,nilitumia phoenix browser, shukrani sana
Mbona kila mtu anasema ivyo aisee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh.. pale kuna watoto waqali kinoma aisee [emoji4]
Pale kuna vitoto vya kihindi, mixa waarabu...Mbona kila mtu anasema ivyo aisee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shukrani mkuu nimefanikiwa
MkuuMiaka ya Nyuma UD admission ilikuwa unachukua pale Nkrumah na unasign Sasa Sina uhakika Kama Sikuhizi nawao wanamfumo Kama wa UDOM unashusha tu kwenye ALIS yao