Admission Letters + Joining Instructions - UDSM

Admission Letters + Joining Instructions - UDSM

Usitumie opera mini.
Tumia chrome. Na hakikisha kule kwenye option umeweka Desktop mode,
Pia unaweza kutumia Phoenix Browser iko poa.
Kwa watumiaji wa Samsung.. ile browser nayo inasupport.

NB. Badala ya Opera mini, tumieni Opera Browser
Nimefanikiwa mkuu,nilitumia phoenix browser, shukrani sana
 
Miaka ya Nyuma UD admission ilikuwa unachukua pale Nkrumah na unasign Sasa Sina uhakika Kama Sikuhizi nawao wanamfumo Kama wa UDOM unashusha tu kwenye ALIS yao
Mkuu
Ni ARIS na si ALIS.. Halafu hizo fomu huwa wanatuma kwenye account yako uliyotumia ku apply chuo
 
Back
Top Bottom