Admission Points za TCU?

Admission Points za TCU?

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
688
Naomba kuuliza eti Minimum Institutional Admission points zilizoandikwa TCU guide zinahesabiwaje???
 
Kasome Tcu Guide Book Manake Kila Fucult Na Chuo Kuna Cut Off Zake
 
Naomba kuuliza eti Minimum Institutional Admission points zilizoandikwa TCU guide zinahesabiwaje???

Ndugu hebu fuata mfano huu hapa

OLD GRADING SYSTEM KWA WALIOMALIZA 1988 - 2013
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1

NEW GRADING SYSTEM WALIOMALIZA 2014 - KUENDELEA (BRN)
A=5
B+=4
B=3
C=2
D=1
E=0.5
F=0

1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2013 kurudi nyuma umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una point 9 Jumlisha na GS au BAM ambayo ni 0.5 unapata 9.5 ambayo ni nzuri sana kwa kuingia MD na Pharmacy.

2. 1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2015 (BRN) umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una point 6 Jumlisha na GS au BAM ambayo ni 0.5 unapata 6.5 ambayo sio nzuri sana kwa kuingia MD na Pharmacy. hapa ukiomba hizo kozi una hati hati ya kukosa nafasi ya vyuo vya afya kama ushindani ukiwa mkubwa sana.

Someni GUidebook ya TCU kwa maelekezo zaidi.:A S-cry:
 
Marekebisho kdgo mkuu gs na bam hazihesabiwi ......pia min admission point kwa tcu ni 2pts
 
Hujasoma vizuri mkuu inachukuliwa moja tu kati ya GS na BAM mojawapo ambayo ni 0.5 soma vizuri uelewe hizo 2pts hazipo. Acha kupotosha wadau
 
Ndugu hebu fuata mfano huu hapa

OLD GRADING SYSTEM KWA WALIOMALIZA 1988 - 2013
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1

NEW GRADING SYSTEM WALIOMALIZA 2014 - KUENDELEA (BRN)
A=5
B+=4
B=3
C=2
D=1
E=0.5
F=0

1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2013 kurudi nyuma umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una point 9 Jumlisha na GS au BAM ambayo ni 0.5 unapata 9.5 ambayo ni nzuri sana kwa kuingia MD na Pharmacy.

2. 1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2015 (BRN) umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una point 6 Jumlisha na GS au BAM ambayo ni 0.5 unapata 6.5 ambayo sio nzuri sana kwa kuingia MD na Pharmacy. hapa ukiomba hizo kozi una hati hati ya kukosa nafasi ya vyuo vya afya kama ushindani ukiwa mkubwa sana.

Someni GUidebook ya TCU kwa maelekezo zaidi.:A S-cry:

Thanks
 
Vipi hii...

GEOGRPHY B

PHYSICS C

ADV MATHS E

GS D

Fucult gani itamkibali?
 
Hujasoma vizuri mkuu inachukuliwa moja tu kati ya GS na BAM mojawapo ambayo ni 0.5 soma vizuri uelewe hizo 2pts hazipo. Acha kupotosha wadau

WW ndo nahisi unapotosha na Bila Shaka lazima utakuwa brn tu..... Mm ninayo guidebook ya 2015/2016 hapa na hicho kitu cha gs na bam sijakiona...... Unaposema 2pts hazipo sijui unamaanisha nn.
 
Marcopolo hatuko hapa kwa ajili ya kubishana na kupotosha umma. Tupo kuelimisha wadogo zetu. Huo mfano nilioutoa hapo juu unafafanua jinsi grade zinavohesabiwa. Acha kupotosha watu kuwa GS na BAM ni 2pts hicho kitu hakipo. BAM na GS ni 0.5 na inahesabiwa moja tu ndugu yangu acha ubishi kwa kitu kilichowazi
 
Last edited by a moderator:
Nahisi hukunielewa vizuri mkuu nilichomaanisha hapo juu ni kwamba, 2pts ni min admission points za tcu kwa masomo ma 3 ambayo ni basic..... Bam na gs ni subsidiary subjects hivyo hazihesabiw kwenye kuangalia cut off points
 
Hebu nijibu kuhusu post yangu hapo juu nahisi una ufahamu mzuri.
 
Nahisi hukunielewa vizuri mkuu nilichomaanisha hapo juu ni kwamba, 2pts ni min admission points za tcu kwa masomo ma 3 ambayo ni basic..... Bam na gs ni subsidiary subjects hivyo hazihesabiw kwenye kuangalia cut off points

Mkuu minimum admission point za TCU ni 2points yani 2 principal passes minimum 2 E's (E E) kwa waliomaliza 1988 hadi 2013.

Na minimum 2 points yani 2 passes minimum 2 D's (D D) kwa waliomaliza 2014 kuendelea hadi wa mwaka huu 2015.

Kiwango cha chini cha kuingia chuo kikuu kwa viwango vya TCU ni hicho hapo juu. Ila vyuo pia wanaweka viwango vyao vya kuingia chuo mfano viwango vya UDSM ni minimum 5 points from 3 subject's na MUHAS ni 7 kwa MD from 3 subjects. Hivi vipo juu ukilinganisha na vyuo vingine.

TCU inachokifanya ni kumpa kila mtu nafasi ya kuingia chuo kikuu ndio maana wakaweka hicho kiwango cha chini kbsa kwa mtu kuingia chuo.

Cha muhimu hapo ni kuangalia mtu umefaulu vp kwa core subjects. Hizo subsidiary hazihesabiwi. Zinaangaliwa tu endapo mmefungana au kulingana points wakati wa selection.
 
Poa mkuu nashukuru kwa kunielewa nami nimekuelewa pia ahsante
 
Ndugu hebu fuata mfano huu hapa

OLD GRADING SYSTEM KWA WALIOMALIZA 1988 - 2013
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1

NEW GRADING SYSTEM WALIOMALIZA 2014 - KUENDELEA (BRN)
A=5
B+=4
B=3
C=2
D=1
E=0.5
F=0

1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2013 kurudi nyuma umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una point 9 Jumlisha na GS au BAM ambayo ni 0.5 unapata 9.5 ambayo ni nzuri sana kwa kuingia MD na Pharmacy.

2. 1. kama umefanya PCB mfano umemaliza 2015 (BRN) umepata Phy- C , Chemistry - C , BIOS - C hapa una point 6 Jumlisha na GS au BAM ambayo ni 0.5 unapata 6.5 ambayo sio nzuri sana kwa kuingia MD na Pharmacy. hapa ukiomba hizo kozi una hati hati ya kukosa nafasi ya vyuo vya afya kama ushindani ukiwa mkubwa sana.

Someni GUidebook ya TCU kwa maelekezo zaidi.:A S-cry:

mkuu hivi siku hizi grade "S" siku hizi halipo?
 
mkuu hivi siku hizi grade "S" halipo?
 
Back
Top Bottom