Uchaguzi 2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

Naomba nikukumbushe neno dogo tu kuwa kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu, maana nia ya mwana siasa ni kupata ushindi kwa kile wanacho kihitaji kisiasa.

Hivyo basi cdm na Act likely wanaweza kuungana kama kweli wameamua hivyo
 
Sasa hapo kuna ubaya gani?
Zitto mjanja sana, kasoma alama za nyakati kaogopa kugombea urais mwaka huu maana ataaibika, anataka awaunge mkono ili kipindi kijacho iwe zamu yake kuungwa mkono wakati JPM akiwa hayupo.
 
Huyo ni kijana kutoka sumve kanda ya ziwa hivyo wacha kujichosha kwa kumueleimisha maana hawezi kukuelewa.
 
Wewe mwenyewe ni kenge
 
Mkuu unadhani chanzo cha huo ubinafsi unao usema ndani ya Chadema ni nini?

Umesema ACT ni kama mtoto wa nje wa CCM halafu unasema wakiungana na Chadema wataleta upinzani imara wenye tija kivipi mkuu??
 
Mkuu unadhani chanzo cha huo ubinafsi unao usema ndani ya Chadema ni nini?

Umesema ACT ni kama mtoto wa nje wa CCM halafu unasema wakiungana na Chadema wataleta upinzani imara wenye tija kivipi mkuu??

Hiyo ACT ilikuwa na mkono wa kina JK, Membe nk, ila baada ya Magufuli kuingia madarakani, ni kama kakata ushirikiano na hilo kundi la kina JK&co. Hivyo kwa sasa ACT imepotezewa na ccm ya Magufuli.
 
Hiyo ACT ilikuwa na mkono wa kina JK, Membe nk, ila baada ya Magufuli kuingia madarakani, ni kama kakata ushirikiano na hilo kundi la kina JK&co. Hivyo kwa sasa ACT imepotezewa na ccm ya Magufuli.
Kama ndio tunaendelea kuishi kwa fikira kama hizi mkuu basi bado tuna safari ndefu sana
 
Chadema haina mgombea imara kule znz,
Ni wazi muda ukifika watamuunga mkono maalim seif ambaye ndio mwenye nguvu kubwa ya kuwasumbua ccm kule znz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…