LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
tatizo vyama mamluki vitashirikiLaiti agenda ya No Reform No Election ingebebwa na vyama vyote vya upinzani kazi ingekuwa imekwisha lazima reform ingefanyika na Uchaguzi wetu ungeheshimka na wote, lakini kwa sasa hiki kinachoitwa uchaguzi ni mchezo wa kuigiza ambao unatumia mamia ya mabilioni ya fedha na kuzalisha viongozi haramu ambao hawatokani na matakwa wananchi