Safi sana, na hongwra sana ACT. Sasa tumeanza kuongea sauti moja. Tunasubiei kauli ya;
1. Chama cha wanasheria nchini
2. Viongozi wa dini
3. Asasi za kiraia
4. Jumuia za wafanyakazi
5. Watu mashuhuri kama Jaji Warioba, Prof. Shivji, Mzee Butiku, Mzee Pinda, Mzee Kikwete, CAG Mstaafu Musa Assard
NO REFORM NO ELECTION.
Kwenye maimamo huu, hakuna kurudi nyuma.