Ado Shaibu: Kama naenda kasi katika kuwasemea Wananchi niambieni nipunguze

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan katika masuala ya haki, utekaji na changamoto zinazowakabili wananchi.

Wamesema hayo Septemba 23, 2026, wakati Ado Shaibu kiendelea na ziara yake ya kijiji kwa kijiji katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, yenye lengo la kusikiliza changamoto za Wananchi na kuzifikisha katika maeneo husika, ikiwemo Bunge.
 
ok. :pedroP:
 
Back
Top Bottom