Teh Teh Teh hapo ushakunywa kisungura chako ukapata na bangi chafu unajiona una nguvu za ajabu hahahaha!! Bado siamini CDM niliyoifahamu Ina watu hopeless wa aina yako!!Wewe huna akili ndiyo maana umekubali kuwa chawa. Msajili ameyakanyaga yeye na mkewe mdogo mchome lazima tuwatoe nishai .
Hopeless ni mamako aliyebeba mimba yako kwenye mkesha wa mwenge hapo humjui babako halisi ndiyo maana huna adabu, naona umejisahau umenijibu kwa ID hii na siyo ile Nico .Teh Teh Teh hapo ushakunywa kisungura chako ukapata na bangi chafu unajiona una nguvu za ajabu hahahaha!! Bado siamini CDM niliyoifahamu Ina watu hopeless wa aina yako!!
Tangu lini ukawa mshauri wa chadema? Ccm bwanaMkutano wa baraza kuu unaweza kuendeshwa hata na Heche! Majina Yao yanaweza rudishwa mkutanoni na huyo huyo Lissu kwa maandishi!! It’s sad nawewe ni mwanasheria unaandika huu utumbo!!
Hii ngoma ni nyepesi sana mithiri ya kumsukuma mlevi wa ulanzi Chadema wanatakiwa kuitisha baraza kuu Kisha wanawathibitisha watu wale wale ili tuone msajili atakuja na agenda gan zaidSasa watateuliwaje mkutanoni ikiwa Mteuaji(Lissu kama Mwenyekiti) hayupo? Hao kupendekezwa na Mwenyekiti na kuidhinishwa na Mkutano Mkuu. Mwenyekiti is absent. So, it becomes impracticable!
CHADEMA chukueni huu ushauri wa bure. Ukiona mwenzio kashika mpini na wewe kakushukisha makali hata kama siyo haki unapaswa kuwa makini usije kukatwa vidole. CHADEMA CHUKUENI USHAURI WA BURE WA ADO SHAIBUKatibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri kuu.
Ado kupitia ukurasa wake wa X ameandika kusema "Mwaka 2019, Maalim Seif alipojiunga na ACT Wazalendo, Msajili wa Vyama vya Siasa alikataa uteuzi wake na viongozi wengine kushikilia nafasi mbalimbali ndani ya ACT Wazalendo kwa hoja kwamba hawakuteuliwa na Halmashauri Kuu. Hatukukubaliana na hoja zake. Lakini, tuliamua kuimaliza mechi hiyo "kibingwa". Tuliitisha kikao cha Halmashauri Kuu upesi na kuwateua watu walewale aliowakataa. Mchezo uliishia hapo.
Ado amebainisha hayo wakati huu ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa akishikilia msimamo wa Ofisi yake na kubainisha kuwa hatambui uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema walioteuliwa na kuchaguliwa na Baraza kuu la Januari 22, 2025
Viongozi ambao hawatambuliwi na Ofisi ya Msajili ni Bwana John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidh Ali Salehe
Taarifa ya msajili pia ilisema Ofisi yake haiwatambui Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025 pamoja na Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025.
Pia, Soma
Hili senge la ccm linashobokea sana mambo ya ChademaTangu lini ukawa mshauri wa chadema? Ccm bwana
CHADEMA MSISHUPAZE SHINGO.NI USHAURI MZURI SANA NA USIOKUWA NA GHARAMA
Yeah!.. rahisi sana kumaliza hiliNdo kitachofanyika
Labda waweke agenda za sili? Hivi unaamini kweli Chadema wawe hawakufuata utaratibu? Kama CCM jina lilipita ghafla bin vuu. Na mambo yakaenda. Chadema haiwezi kuwa ilikosea kwenye hilo eneo. Maana kabla ya maamuzi mara nyingi kikao huthibitishwa kwa akidi.Huu ushauri kama mzuri vile, cdm wachuku hii
Or kuna mahakamaLabda waweke agenda za sili? Hivi unaamini kweli Chadema wawe hawakufuata utaratibu? Kama CCM jina lilipita ghafla bin vuu. Na mambo yakaenda. Chadema haiwezi kuwa ilikosea kwenye hilo eneo. Maana kabla ya maamuzi mara nyingi kikao huthibitishwa kwa akidi.
Aache kufananisha chadema na act vita ya msajiji kwa chadema nizaidi ya tujuavyoKatibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri kuu.
Ado kupitia ukurasa wake wa X ameandika kusema "Mwaka 2019, Maalim Seif alipojiunga na ACT Wazalendo, Msajili wa Vyama vya Siasa alikataa uteuzi wake na viongozi wengine kushikilia nafasi mbalimbali ndani ya ACT Wazalendo kwa hoja kwamba hawakuteuliwa na Halmashauri Kuu. Hatukukubaliana na hoja zake. Lakini, tuliamua kuimaliza mechi hiyo "kibingwa". Tuliitisha kikao cha Halmashauri Kuu upesi na kuwateua watu walewale aliowakataa. Mchezo uliishia hapo.
Ado amebainisha hayo wakati huu ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa akishikilia msimamo wa Ofisi yake na kubainisha kuwa hatambui uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema walioteuliwa na kuchaguliwa na Baraza kuu la Januari 22, 2025
Viongozi ambao hawatambuliwi na Ofisi ya Msajili ni Bwana John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidh Ali Salehe
Taarifa ya msajili pia ilisema Ofisi yake haiwatambui Viongozi na watendaji wote walioteuliwa na Viongozi waliopatikana kwenye Kikao cha Baraza kuu la Januari 22, 2025 pamoja na Viongozi na watendaji wote walioteuliwa kwa mamlaka za Chama kushauriana na Viongozi waliopatikana Januari 22, 2025.
Pia, Soma
Wasiwasi kunaweza kutokea vurugu, mchome akawa kama lipumba ktk mkutano wa cuf dhidi ya seif, kushindikizwa ukumbiniMkutano wa baraza kuu unaweza kuendeshwa hata na Heche! Majina Yao yanaweza rudishwa mkutanoni na huyo huyo Lissu kwa maandishi!! It’s sad nawewe ni mwanasheria unaandika huu utumbo!!
Umeelewa nilichoandika au it’s too big for you to digest!!Tangu lini ukawa mshauri wa chadema? Ccm bwana
Mkuu, Heche si Mwenyekiti. Lissu ndiye. Hapo kuna calculated move...akosekane Mwenyekiti; akosekane wa kupendekeza; halafu mambo yasiende. Kumfanya Lissu awasilishe majina akiwa mahabusu ni torture. Kuhusu utumbo niliouandika, usamehe tu mkuu. Ni maoni yangu tu.Mkutano wa baraza kuu unaweza kuendeshwa hata na Heche! Majina Yao yanaweza rudishwa mkutanoni na huyo huyo Lissu kwa maandishi!! It’s sad nawewe ni mwanasheria unaandika huu utumbo!!