uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
CHADEMA MSISHUPAZE SHINGO.NI USHAURI MZURI SANA NA USIOKUWA NA GHARAMA
Kama sio utaratibu Mimi nisingefanya
CHADEMA MSISHUPAZE SHINGO.NI USHAURI MZURI SANA NA USIOKUWA NA GHARAMA
Aiaee kumbe we jamaa kilaza hivyo, Mwenyekiti anaweza teua hata kwa maandishi huko mlipomuweka nyuma ya Nondo na wakaidhinishwa.Sasa watateuliwaje mkutanoni ikiwa Mteuaji(Lissu kama Mwenyekiti) hayupo? Hao hupendekezwa na Mwenyekiti na kuidhinishwa na Baraza Kuu. Mwenyekiti is absent. So, it becomes impracticable!
Katiba ya CHADEMA inasema Makamu mwenyekiti Ana mamlaka ya kuendesha vikao na kufanya majukumu yote ya mwenyekiti kwa idhini yake. Soma vizuri katiba ya CDM ambayo msajili anaisimamia.Mkuu, Heche si Mwenyekiti. Lissu ndiye. Hapo kuna calculated move...akosekane Mwenyekiti; akosekane wa kupendekeza; halafu mambo yasiende. Kumfanya Lissu awasilishe majina akiwa mahabusu ni torture. Kuhusu utumbo niliouandika, usamehe tu mkuu. Ni maoni yangu tu.
CHADEMA sio ACT inajua inafanya nini