PreGE2025 Ado Shaibu: Msajili alitukatalia teuzi, tukamalizana kibingwa, CHADEMA wamalize mechi ''Kibingwa''

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa watateuliwaje mkutanoni ikiwa Mteuaji(Lissu kama Mwenyekiti) hayupo? Hao hupendekezwa na Mwenyekiti na kuidhinishwa na Baraza Kuu. Mwenyekiti is absent. So, it becomes impracticable!
Aiaee kumbe we jamaa kilaza hivyo, Mwenyekiti anaweza teua hata kwa maandishi huko mlipomuweka nyuma ya Nondo na wakaidhinishwa.
 
Katiba ya CHADEMA inasema Makamu mwenyekiti Ana mamlaka ya kuendesha vikao na kufanya majukumu yote ya mwenyekiti kwa idhini yake. Soma vizuri katiba ya CDM ambayo msajili anaisimamia.
 
CCM hawakufuata utaratibu kumpata mgombea urais...

Mbona huyu Mutungi hakusema chochote???🤣🤣...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…