Sijawai tumia figma hivi tofauti yake photoshop ni ipi mkuu.Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma.
Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
Figma ni kitu gani wengine hatujuiKutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma.
Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
Figma ni kama Adobe XD inatumika kudesing UI/UX ya products. Kwa hiyo mfano nataka kuunda app ya simu. Ninaweza kudesign UI yake na prototype yake kama ni mteja akaona final product itakavyofanana na inavyorespond mtumiaji anapoitumia. Ni web based pia watu zaidi ya mmoja wanaweza collaborate kufanya kazi kwa pamoja.Sijawai tumia figma hivi tofauti yake photoshop ni ipi mkuu.
niliitumia mda kidogo, niliunda UI huko (kwa ku drag/drop) , nika generate source code na kuzitupia kwa FlutterSijawai tumia figma hivi tofauti yake photoshop ni ipi mkuu.
Nahisi sasa nahitajika kujifunza hii, je na UI za Desktop app pia inaweza fanya....!?.niliitumia mda kidogo, niliunda UI huko (kwa ku drag/drop) , nika generate source code na kuzitupia kwa Flutter
mkuu ni free au kuna malipo.Figma ni kama Adobe XD inatumika kudesing UI/UX ya products. Kwa hiyo mfano nataka kuunda app ya simu. Ninaweza kudesign UI yake na prototype yake kama ni mteja akaona final product itakavyofanana na inavyorespond mtumiaji anapoitumia. Ni web based pia watu zaidi ya mmoja wanaweza collaborate kufanya kazi kwa pamoja.
Photoshop mara nyingi ni kwa ajili yua photo manipulation na printing na haifanyi kazi sana na vector images.
Kuna plan ya bure na kulipia. Nadhani kwa kuanza ya bure inatosha tumkuu ni free au kuna malipo.
Hapa sasa!niliitumia mda kidogo, niliunda UI huko (kwa ku drag/drop) , nika generate source code na kuzitupia kwa Flutter
Ukitaka kuwa professional achana na vya bure. Hupati features zote za kukuweka level za juu kama unataka vya buremkuu ni free au kuna malipo.
UI inakuwa ni ileile moja, mtu wa kati (software ya kati) ndiyo ana badili UI kuwa source code za language flani au kwa ku-import plugin flani (figma UI to language-X) kwenye engine ya figmaNahisi sasa nahitajika kujifunza hii, je na UI za Desktop app pia inaweza fanya....!?.
Shukran sana mkuu.UI inakuwa ni ileile moja, mtu wa kati (software ya kati) ndiyo ana badili UI kuwa source code za language flani au kwa ku-import plugin flani (figma UI to language-X) kwenye engine ya figma
kama una develop desktop app kwa C#
huu ni mfano
Watu hatupendi vya bure ila umaskini ndio unatufanya tutafute vya bure mkuu, imagine kwa mfano mimi nilipie vifuatavyo..Ukitaka kuwa professional achana na vya bure. Hupati features zote za kukuweka level za juu kama unataka vya bure