Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma.
Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi