Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi ,wachezaji wakaingia uwanjani na fikra za hovyo kabisa !! Wakijua mechi imechezwa usiku' mwisho tunaambulia aibu ,acheni uchawi na tunaambiwa hata kambini Kuna mambo ya kishirikina mliwalazimisha wafanye na tunajua Kuna waliokataa na mkawapiga bit!!! HaMta fanikiwa mkiendekeza uchawi badala ya kusajili wachezaji wa maana !! Muda sio mrefu nitakuja kumtaja hapa huyo sangoma aache uongo !!!