Adui Muombee Njaa

Maganda wamepungua mjini bajeti zimekaza mpk mnaona mpike sasa tunakoelekea tutaelewana..!
 
Mimi offer yangu kwa shirima hata elfu 7 haifiki nashiba ndii..
Chips yai 2500
Mishkaki minne 2000
Maji ya kilimanjaro 1500
asa kwani kwa rest unadhani ningetumia bei gani? hata 40k isingezidi.
itabidi hii offer ikugeukie wewe.. maana Inna nimeshindwa kumtoa kijiji ndani yake japo nilliweza kumtoa kijijini kumleta mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…