Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee " hahahaaNjoo nikupe chakula kitakachokushibisha miezi 9 bure
Muwe mnatuhenga henga japo kidogo yaani muee mnatupa ka muda kiduchu.Wewe sikulipi nakupa..
Kutopiga mizinga,yaani sio ndani ya muda mfupi tu unaanza kusoma risala.Ka muda ka kufanya nini*?
Watoto wa kike mnaomba sana helaa,daah !Ka muda ka kufanya nini*?
Swali zuri sana,ni ule muda mfupi kwa wote,muda mfupi bibie ni maarufu sana,mpaka ukafikia kutokuwa na haja ya kuulezea,sawa sawa na mimi nikuulize maji nini,kila mtu anajua maji nini.Muda mfupi ndo muda gani*?
Unatakiwa kuomba kile kinachoombeka. Sawa sawa na wewe umuombe binadamu mwenzako akupe mwaka mzima.Tuwaombe Maji ya uzima mnayo?
Muda mfupi unajulikana kwa kila mtu,hiyo ndio maana yangu.Hata sijakuelewa.
Bibie unaonekana mtata sana wewe !Hata sijakuelewa.
Hamna,nakuona unanikazia sana wakati unajua kabisa ukweli wa mambo ulivyo...!Hahahahahaaa.. Unanigeuzia kibao sasa