Adui Muombee Njaa

Mi najua kuomba hela ni dakika yoyote tuu
Na kunyimwa hela halikadhalika.

Hapa tunazungumzia katika kufahamiana na mtu anayekutaka kimapenzi kisha ukaanza kumletea dibaji,ndani ya muda mfupi kutangaza shida zako.

Sio jambo la uungwana kabisa hili.
 
Mkuu
pole sana kwa maswahibu ya kuumwa tumbo. Mola akufanyie wepesi.
 
Na kunyimwa hela halikadhalika.

Hapa tunazungumzia katika kufahamiana na mtu anayekutaka kimapenzi kisha ukaanza kumletea dibaji,ndani ya muda mfupi kutangaza shida zako.

Sio jambo la uungwana kabisa hili.
Kumbe ivoo. Ukiona umetongoza Leo kesho ukaombwa hela toka nduki maana na anaekuomba hela lengo lake ni kukukimbiza
 
Kumbe ivoo. Ukiona umetongoza Leo kesho ukaombwa hela toka nduki maana na anaekuomba hela lengo lake ni kukukimbiza
Wengine huwa tunakimbizwa na mengine sio hela.

Hivi kwenye uzi huu tunachat mimi na wewe na peke yetu tu ?
 
Wengine huwa tunakimbizwa na mengine sio hela.

Hivi kwenye uzi huu tunachat mimi na wewe na peke yetu tu ?
Tuchat tu... Kama ukiombwa unatoa kesho yake usilalamike
 
Adui yako wala usimuombee njaa, we muombee agombane na MANGE KIMAMBI tu [emoji18]

We mwenyewe utamuonea huruma[emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…