Adui Muombee Njaa

Adui Muombee Njaa

ADUI YANGU NAMWOMBEA AFE YEYE NA KIZAZI CHAKE CHOTE WALAHI!
Adui yako unatakiwa umfanyie wema wa kumuombea asije kumfanyia ubaya mtu mwingine baada yako wewe.
 
Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali

ww ni mtt wa kike kwanin unakuwa mvivu kupika? unashindw hat na mimi ninayependa kupika ingawa ni mwanaume..
 
Back
Top Bottom