Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,639
Reaction score
2,384
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55.

Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo.

Kelele nyingi, uwongo mwingi, matukano mengi, Ubaguzi na chuki haitaisadia CHADEMA kushika dola.CHAMA CHA WANANCHI KINAPAMBANA KUSHIKA DOLA ILI KIWASAIDIE HAO WANANCHI KINYUME NA HAPO KITAITWA CHAMA WALIMA MCHICHA, SACCOS, KIKOBA N.K

Naomba msinitukane kwenye huu Uzi hakuna tusi hata moja
 
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55.Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola.Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo.Kelele nyingi,uwongo mwingi,matukano mengi,Ubaguzi na chuki haitaisadia CHADEMA kushika dola.CHAMA CHA WANANCHI KINAPAMBANA KUSHIKA DOLA ILI KIWASAIDIE HAO WANANCHI KINYUME NA HAPO KITAITWA CHAMA WALIMA MCHICHA,SACCOS,KIKOBA N.K
Naomba msinitukane kwenye huu Uzi hakuna tusi hata moja
pole
naona umejitoa ufahamu
anyways, ndio sifa ya maFISIEM
 
Back
Top Bottom