Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu anaedanganya umma wa JF kuwa wapinzani wanadai kuwa Tanzania hakuna demokrasia kwa sababu hawakushinda uchaguzi ilihali wapinzani waliweka wazi kabisa madai yao kwamba uchaguzi haukuwa wa kidemokrasia kwa sababu mawakala hawakuruhusiwa kuingia kwenye vituo vya kupiga kura,mawakala walitekwa na kadhalika;mtu wa namna hiyo siyo mpumbavu?Unataka mtu wa namna hiyo nimwite kuwa ni mtu mwerevu na makini?Hiyo siyo mada.
Ni kawaida sana kwa watu wajinga na wapumbavu kudhani kuwa wengine ndio wapumbavu zaid yao!. Maneno yako ni reflection hiyo. Uliambiwa kuwa unapomnyooesha mwenzako kidole chapete, vile vingine vyote vinakuwa vinakuoonyesha wewe mwenyewe. Ukishakuwa na busara hiyo utabadili lugha zako kuhusu watu wengine.
Kuna sheria za kufuata iwapo mtu hakubaliani na matokeo ya uchaguzi, na zimeshatumika sana nchini hapa; ziliwavua ubunge akina Kihiyo, Wassira, Mramba, na wengineo wengi. Hakuna mgombea yeyote ambaye mpaka wakati huu ameshafungua kesi kupinga matokeo yale kama unavyodai, kwani uwepo wa mawakala kwenye vituo ni jambo la kisheria, na mtu yeyote anayezuia mawakala anakuwa amevunja sheria. In fact kwenye jimbo la Hai Mbowe alikuwa na wmawakali katika vituo vyote na bado alishindwa kwa wingi wa kura.Sasa mtu anaedanganya umma wa JF kuwa wapinzani wanadai kuwa Tanzania hakuna demokrasia kwa sababu hawakushinda uchaguzi ilihali wapinzani waliweka wazi kabisa madai yao kwamba uchaguzi haukuwa wa kidemokrasia kwa sababu mawakala hawakuruhusiwa kuingia kwenye vituo vya kupiga kura,mawakala walitekwa na kadhalika;mtu wa namna hiyo siyo mpumbavu?Unataka mtu wa namna hiyo nimwite kuwa ni mtu mwerevu na makini?
Kuna sheria za kufuata iwapo mtu hakubaliani na matokeo ya uchaguzi, na zimeshatumika sana nchini hapa; ziliwavua ubunge akina Kihiyo, Wassira, Mramba, na wengineo wengi. Hakuna mgombea yeyote ambaye mpaka wakati huu ameshafungua kesi kupinga matokeo yale kama unavyodai, kwani uwepo wa mawakala kwenye vituo ni jambo la kisheria, na mtu yeyote anayezuia mawakala anakuwa amevunja sheria. In fact kwenye jimbo la Hai Mbowe alikuwa na wmawakali katika vituo vyote na bado alishindwa kwa wingi wa kura.
Unaishi Tanzania hii hii ambayo wengine tunaishi au una Tanzania yako unayoishi?!Unawezaje kufungua kesi katika mazingira kama haya?!Upo serious kabisa na unachoandika au unafanya tu mzaha?
View attachment 1683181View attachment 1683189
Utakuwa umekunywa maji ya chooni tu si bure.Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu.
Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale ya kupita (transitional). Jambo transitional ambalo litamhukumu sana Maguful ni jinsi alivyosimamia maambukizi ya Korona. Amelisimamia vibaya sana kiasi kuwa hata wafuasi wake wanaweza kuwa wanakufa bila kujua kuwa wana virusi vya korona. Alizima information yoyote inayohusu korona, na kusahahu kuwa information is power.
Wakati wa ujana wetu (pamoja na yeye) tulipewa information zote kuhusu AIDS na ilitusaidia sana kujua jinsi ya kuikwepa. Sasa hivi information ya Corona haipo kabisa, na watu hawajui namna ya kuikwepa.
Watu wanajoifanya kuwa wanajua kusimamia interests za Watanzania wote wanapiga kelele kwa mambo yanayowahusu interests zao tu, kama kuruhusiwa kufanya maandamano, ambacho siyo kipimo kabisa che demokrasia, lakini sijasikia hata mmoja akizungumzia uongozi wa hili la korona linalohusu umma wa Watanzania wote. Hata wanaoliongelea, wanatumia njia hiyo hiyo ya kuhimiza maslahi yao binafsi.
Mahakama za Tanzania zilishajithibitisha zenyewe kuwa hazipo tayari kutenda haki na zimewekwa mfukoni na serekali pamoja na chama cha mapinduzi.Vikaragosi ni mawazo ya mchoraji, siyo sheria na wala usiendeshea maisha yako au kutoa mawazo yako kwa kusoma vikaragosi.
Kuogopa kuomba haki yako mahakamani siyo utetezi; fungua kesi halafu ulalamikie uamuzi lakini siyo kulalamika chinichini bila kwenda mahakamani ambako utaonyesha ushahidi wako. Marehemu Mtikila aliishitaki sana serikali mahakamani na kuna mahala alishinda na kule ambako hakuridhika na uamuzi alikata rufaa; ndiyo utaratibu wa sheria
Na Umbumbumbu wa masuala ya Kitaifa/Kimataifa piaWatu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu.
Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale ya kupita (transitional). Jambo transitional ambalo litamhukumu sana Maguful ni jinsi alivyosimamia maambukizi ya Korona. Amelisimamia vibaya sana kiasi kuwa hata wafuasi wake wanaweza kuwa wanakufa bila kujua kuwa wana virusi vya korona. Alizima information yoyote inayohusu korona, na kusahahu kuwa information is power.
Wakati wa ujana wetu (pamoja na yeye) tulipewa information zote kuhusu AIDS na ilitusaidia sana kujua jinsi ya kuikwepa. Sasa hivi information ya Corona haipo kabisa, na watu hawajui namna ya kuikwepa.
Watu wanajoifanya kuwa wanajua kusimamia interests za Watanzania wote wanapiga kelele kwa mambo yanayowahusu interests zao tu, kama kuruhusiwa kufanya maandamano, ambacho siyo kipimo kabisa che demokrasia, lakini sijasikia hata mmoja akizungumzia uongozi wa hili la korona linalohusu umma wa Watanzania wote. Hata wanaoliongelea, wanatumia njia hiyo hiyo ya kuhimiza maslahi yao binafsi.
Kuna sheria za kufuata iwapo mtu hakubaliani na matokeo ya uchaguzi, na zimeshatumika sana nchini hapa; ziliwavua ubunge akina Kihiyo, Wassira, Mramba, na wengineo wengi. Hakuna mgombea yeyote ambaye mpaka wakati huu ameshafungua kesi kupinga matokeo yale kama unavyodai, kwani uwepo wa mawakala kwenye vituo ni jambo la kisheria, na mtu yeyote anayezuia mawakala anakuwa amevunja sheria. In fact kwenye jimbo la Hai Mbowe alikuwa na wmawakali katika vituo vyote na bado alishindwa kwa wingi wa kura.
Ukiongelea demokrasia unaongelea uhuru wa habari. Sio uhuru wa habari za Corona tu. Uhuru wa habari zote siku zote.Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu.
Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale ya kupita (transitional). Jambo transitional ambalo litamhukumu sana Maguful ni jinsi alivyosimamia maambukizi ya Korona. Amelisimamia vibaya sana kiasi kuwa hata wafuasi wake wanaweza kuwa wanakufa bila kujua kuwa wana virusi vya korona. Alizima information yoyote inayohusu korona, na kusahahu kuwa information is power.
Wakati wa ujana wetu (pamoja na yeye) tulipewa information zote kuhusu AIDS na ilitusaidia sana kujua jinsi ya kuikwepa. Sasa hivi information ya Corona haipo kabisa, na watu hawajui namna ya kuikwepa.
Watu wanajoifanya kuwa wanajua kusimamia interests za Watanzania wote wanapiga kelele kwa mambo yanayowahusu interests zao tu, kama kuruhusiwa kufanya maandamano, ambacho siyo kipimo kabisa che demokrasia, lakini sijasikia hata mmoja akizungumzia uongozi wa hili la korona linalohusu umma wa Watanzania wote. Hata wanaoliongelea, wanatumia njia hiyo hiyo ya kuhimiza maslahi yao binafsi.
Vikaragosi ni mawazo ya mchoraji, siyo sheria na wala usiendeshea maisha yako au kutoa mawazo yako kwa kusoma vikaragosi.
Kuogopa kuomba haki yako mahakamani siyo utetezi; fungua kesi halafu ulalamikie uamuzi lakini siyo kulalamika chinichini bila kwenda mahakamani ambako utaonyesha ushahidi wako. Marehemu Mtikila aliishitaki sana serikali mahakamani na kuna mahala alishinda na kule ambako hakuridhika na uamuzi alikata rufaa; ndiyo utaratibu wa sheria
Katika sehemu ulizowahi kutofautiana na Magufuli ni kwenye namna alivyohandle issue ya COVID-19, Unfortunately ubishi wake, na ego yake vimemcostUnfortunately, legacy yake baada ya miaka miwili tu ijayo itakuwa ni hii ya Covid-19. Sijajua watu watatafsiri vipi ila ndiyo litakuwa gumzo kuhusu Magufuli. Kulikuwa na maneno machache tu ya kutumika: " wananchi; gongwa hili lipo, na ili yujikinge nalo, wote tutumiea barakoa, tuoshe mikono yetu mara kwa mara, na tusikaribiana sana na watu wengine." Halafu yeye angeongoza kwa kuonyesha mfano huo, lakini alipinga na wala hakuonyesha mfano huo!!!
Sijui kama ubishi huo umemcost maisha yake kama uanavyosma kwani hatuna uhakika kuwa kifo chake kimetokana na janga hilo, lakini nadhani hakui-handle vizuri kama kiongozi. Ninajua kuwa alitaka kuwapa watu matumaini na kuwaondolea woga, lakini vile vile alishindwa kuwafundisha kujihadhari.Katika sehemu ulizowahi kutofautiana na Magufuli ni kwenye namna alivyohandle issue ya COVID-19, Unfortunately ubishi wake, na ego yake vimemcost
Unfortunately, legacy yake baada ya miaka miwili tu ijayo itakuwa ni hii ya Covid-19. Sijajua watu watatafsiri vipi ila ndiyo litakuwa gumzo kuhusu Magufuli. Kulikuwa na maneno machache tu ya kutumika: " wananchi; gongwa hili lipo, na ili yujikinge nalo, wote tutumiea barakoa, tuoshe mikono yetu mara kwa mara, na tusikaribiana sana na watu wengine." Halafu yeye angeongoza kwa kuonyesha mfano huo, lakini alipinga na wala hakuonyesha mfano huo!!!