OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Nov 6, 2023 #1 Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini? Mnaamini kwamba hao wazee akina mangungo na hiyo kamati yenu mpya ya ushairi ndio itawasaidia? Mnaamini mno katika records ndio maana hamvuni makombe, watu tupo 2023 mnatuletea story za 1998? Mtaamka lini?
Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini? Mnaamini kwamba hao wazee akina mangungo na hiyo kamati yenu mpya ya ushairi ndio itawasaidia? Mnaamini mno katika records ndio maana hamvuni makombe, watu tupo 2023 mnatuletea story za 1998? Mtaamka lini?