escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Pamoja na vita kali ya Urusi na Ukraine lakini dunia nzima ipo kimya kushuhudia ni kwa namna gani wanawake wawili wenye nguvu zaidi hapa TZ watawalinda wenzao 19 waliodhalilishwa wiki hii mbele ya umati wa wajumbe zaidi ya 400.
Kama Ndugai na Mwendazake (wanaume) waliweza kuwalinda, nyie mnashindwaje kuwalinda wenzenu?
Halafu ifike 2025 muombe kura za ndio toka kwa wanawake hiiiiiiiiiiiii.
Kama Ndugai na Mwendazake (wanaume) waliweza kuwalinda, nyie mnashindwaje kuwalinda wenzenu?
Halafu ifike 2025 muombe kura za ndio toka kwa wanawake hiiiiiiiiiiiii.