LGE2024 Anna Tibaijuka: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za Wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia Vijana kuandamana kama wamekasirika
 
Lile tukio kama watawala wanafikiri wamelimaliza kupitia yale mauaji, basi watakuwa wamejidanganya. Binafsi ninaamini ipo siku litaibuka tena iwapo tu jeuri, dharau na kiburi kitaendelea kuwatawala.

Kimsingi wananchi wanataka haki! Na siyo kuwataka kuilinda amani kwa njia ya vitisho huku serikali hiyo hiyo ikiendelea kuwapora haki zao za msingi kila siku.
 
Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia Vijana kuandamana kama wamekasirika
Habari...nilishasema huyo mama/bibi anatafuta ulaji/cheo kwa njia hiyo.Siku akipewa uteuzi hatatifautiana na Asha Migiro.
Ni vema sisi common men kuelewana kuliko hao walaji wa zamani.asante
 
Ngoja chadema waje kumpa sifa wakati walishasema kila aliyepo ccm n mchafu.

Anyway, n vyema kama ameona njia ya haki.

Ni faraja kubwa sana anayeonakana mwovu akibadilika na kuwa mtu mwema. Hata Samia akibadilika na kuamua kuachana na waovu, akajiunga na watu wema, wengi wanaopenda haki wataungana naye. Kinachoumiza sana ni kuona waovu wameamua kubakia kwenye uovu wao!! Wauaji bado wanatamani kuendelea kuua. Watekaji wanatamani kuendelea kuteka. Waporaji wa madaraka kwa nguvu bado wana hamu ya kuendelea kupora. Madhulumati wa haki wanataka kuendelea kudhulumu. Viongozi mafisadi wanatamani kuendelea kufisadi zaidi!! Hii kwa kweli ni laana!!
 
Na MUNGU anapenda mtu mbaya anapobadiriaka na kuwa mwema kuliko mwema kuwa mwovu ,ni chukizo
 
Kibibi kinajitajidi kuonyesha chuki na Samia lakini wapiiiii, Samia yupo Hadi 2030. Katoliki wanaokutuma waambie Mungu ameshaamua hivyo.
Bora kibibi hiki kimeenda shule kwelkwel tofauti na kibibi hicho unachokiabudu bogas kichwani hakijui hata exchange rate ya us dola!.
Form four failure!.
 
Back
Top Bottom