Adui wa mwanamke ni mwanamke

Adui wa mwanamke ni mwanamke

1945 watoto wa Mwigulu wanaosoma FEZA watakuwa wabunge na mmoja naibu waziri mkuu.
Mtoto wa Nape atakuwa Waziri.
Majina utayasikia haya haya, kumbuka kuna wazee wa miaka ya 1990 walitamani kuona siasa za 2020, lakini majina ni yale yale : -
1.Yusuph Makamba-January Makamba
2.Moses Mnauye- Nape Mnauye
3. Njelu Kasaka- Kasak JR[mbunge lupa].
4. Sam Sitta- Sitta meya wa jiji Dar.
5. Abdala Bulembo- Halima bulembo
6. Nyere Julius - Makongoro nyerere
7. Samia - Hafidh
8. Kikwete Jakaya - Ridhiwani Kikwete
- Salma Kikwete
9Ali Mwinyi- Hussein Mwinyi[Rais Zanzibar]
10. Abed Karume - Karume Aman.
-Ali Karume
Hahahah naona siasa za namna hii zinaelekea mwisho .

Hadi 2045 ngoma inogile
 
Back
Top Bottom