Nakukatalia 💯, hakuna PhD fake. Kama hapa Marekani PhD inaweza kuwa chini ya kiwango but it cannot be fake. Ni sawa na madai ya Trump kwa Obama kusema fake birth certificate. Usiwe mfuata mkumboSio huna uhakika, sema ni ukweli usiopenda kuusikia.
Ni haki yako kukataa, sina tatizo na utashi wakoz ila ukweli PhD ya Magufuli ilikuwa na walakini. Na ingekuwa nje ya nchi kwenye vyup vyenye weledi asingeipata.Nakukatalia 💯, hakuna PhD fake. Kama hapa Marekani PhD inaweza kuwa chini ya kiwango but it cannot be fake. Ni sawa na madai ya Trump kwa Obama kusema fake birth certificate. Usiwe mfuata mkumbo