Adui yako mwombee kupenda

Adui yako mwombee kupenda

Hivi majuzi tu nilitokea kumpenda single mother mmoja hiv, nikawa nimeridhia kabisa kumlea mwanae, mama ake na kuikubali familia kwa ujumla. Alichokuja kukifanya doooooh! Inasikitisha aisee, kweli hayana mbabe
mkuu single mother huwanga na true love na wako na panctuality sijajua Huyo wako labda ana experience love ya long distance [emoji23] [emoji23]
 
Ninakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na crush na mvulana mmoja, kwao wana duka basi nikitumwa dukani maziwa, makate, kibiriti, nitaleta kibiriti nisahau mkate ili tu nipate kurudi dukani.
Maisha yanakwenda kasi sana!
Mimi ndiye yule mvulana, ila siku hizi nishaoa..
 
Sabalnuru wapendwa,

Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
FORGIVENESS IS THE GREATEST REVENGE
 
Unaweza kuwa strong ukasema mimi siwezi kuwa mnyonge, lakini mapenzi bwana achana nayo kabisa. Hayana uzoefu wala experience, yakikupiga yana kupiga tu.
yani Mimi hakuna kitu kinachoni drive kama pombe nisipokunywa kwa siku tatu tu utajua lakini mapenzi hakuna kabisa labda Siku moja itatokea nikawa weak .
 
Back
Top Bottom