Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu single mother huwanga na true love na wako na panctuality sijajua Huyo wako labda ana experience love ya long distance [emoji23] [emoji23]Hivi majuzi tu nilitokea kumpenda single mother mmoja hiv, nikawa nimeridhia kabisa kumlea mwanae, mama ake na kuikubali familia kwa ujumla. Alichokuja kukifanya doooooh! Inasikitisha aisee, kweli hayana mbabe
Hahaha kweli adui mwombee kupendaNinakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na crush na mvulana mmoja, kwao wana duka basi nikitumwa dukani maziwa, makate, kibiriti, nitaleta kibiriti nisahau mkate ili tu nipate kurudi dukani.
Maisha yanakwenda kasi sana!Ninakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na crush na mvulana mmoja, kwao wana duka basi nikitumwa dukani maziwa, makate, kibiriti, nitaleta kibiriti nisahau mkate ili tu nipate kurudi dukani.
Hujambo lakini?Sikutaki tena, yale yalishapita.
Enx but ntapita kweny jarb hilipole sana mkuu.
FORGIVENESS IS THE GREATEST REVENGESabalnuru wapendwa,
Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
Naamin itakua ivoutapita tu na utatoka ukiwa na nguvu mpya.
Haaaaaa haaaaaa hatari sanaAaah
Bas kuna kipindi adui yangu aliniombea
Maana sio kuteseka kule
yani Mimi hakuna kitu kinachoni drive kama pombe nisipokunywa kwa siku tatu tu utajua lakini mapenzi hakuna kabisa labda Siku moja itatokea nikawa weak .Unaweza kuwa strong ukasema mimi siwezi kuwa mnyonge, lakini mapenzi bwana achana nayo kabisa. Hayana uzoefu wala experience, yakikupiga yana kupiga tu.
AhahahhaahaAaah
Bas kuna kipindi adui yangu aliniombea
Maana sio kuteseka kule