Adui yako mwombee kupenda

Adui yako mwombee kupenda

Kuna adui yangu lakin hili simuombei ataringa sana hata kama hapendwi, mi namuombea azeeke bachela
 
Mungu mwnyewe ana maadui wanaompinga itakua wewe mwanadamu?.. Kama mbwai mbwai tu

6c73ebd426573af622449c7bda8e09019fb5e7ee8a2a2ca4e9369ef8be0459f6.jpg
 
Mi huyo adui yangu naona alifunga novena kabisa maana si kwa kuugulia kule!
 
Sabalnuru wapendwa,

Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
Jaman nimecheka sana jf never stress
 
Kwa kweli mie sitamwombea baya wala zuri ila nimwone akibamizwa na Mungu[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom