White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Kuna adui yangu lakin hili simuombei ataringa sana hata kama hapendwi, mi namuombea azeeke bachela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mwnyewe ana maadui wanaompinga itakua wewe mwanadamu?.. Kama mbwai mbwai tuKwanini energy ya kumuombea mabaya adui yako usiiwekeze kwenye kujiombea mwenyewe usiwe na adui?
Mungu mwnyewe ana maadui wanaompinga itakua wewe mwanadamu?.. Kama mbwai mbwai tu
Mav.i mav.iMungu mwnyewe ana maadui wanaompinga itakua wewe mwanadamu?.. Kama mbwai mbwai tu
Jaman nimecheka sana jf never stressSabalnuru wapendwa,
Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
Tena jehanamu yenye moto usiozimaSabalnuru wapendwa,
Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
Ila usiombe uwe unashuhudiwa ww utaomba ardh ifunuke ujificheNi kweli kabisa
Ni bonge la pigo
Nahisi inanoga zaidi ukiwa around kumshuhudia
Kizazi chake sasa wewe kinakuhusu nini kwa kweliDu unanishutua mpaka nati imeachia karibia bolt itoke
Hatar sanTena jehanamu yenye moto usiozima