Adui yako ni kama simba, ukimfuga utageukakuwa kitoweo

Adui yako ni kama simba, ukimfuga utageukakuwa kitoweo

Tabia kuu ya adui (ambaye awali alikuwa rafiki)unapomkubali awe rafiki yako tena huwa anabadilisha mbinu za kukuumiza upya.Umakini,tahadhari na bahati vitakulinda.
Hasa kwenye bahati hapo na ndio devine intervention. Jiwe alikuwaga makini nakuchukua tahadhari alichukua tahadhari mwishoni mwishoni kwa kumshtukizia fatass.

Ila Judas na Brutus kuwatambua ni hadi mwishoni kabisa.

"Even you, Brutus?"

Kiranga

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom